Vijana watakiwa kutumia vyema mitandao ya kijamii katika kuwawajibisha viongozi
0
0
10/03/25
Vijana wametakiwa kutumia vyema mitandao ya kijamii katika kuwawajibisha viongozi na kubuni majukwaa ya mazungumzo kuhusu utawala bora, katika tamasha ya People Dialogue katika bustani ya Uhuru, vijana wametakiwa kutetea nafasi yao serikalini na kutogawanywa kwa misingi ya kikabila.
Montre plus
0 commentaires
sort Trier par