Viongozi wa kaskazini mashariki watoa wito wa haki
0
0
09/03/25
Viongozi wa kaskazini mashariki mwa nchi wanaiomba serikali kuchukua hatua za haraka na kuhakikisha kwamba wahusika katika utekaji wa mwakilishi wa wadi wa dela, Yussuf Ahmed Hussein, wanakamatwa na kuhukumiwa. Mwakilishi huyo, ambaye alikuwa amepotea kwa takriban miezi sita, alirejea nyumbani jumamosi saa tatu usiku, hivi sasa anapata matibabu katika hospitali ya Nairobi.
Montre plus
0 commentaires
sort Trier par