Viongozi wa kaskazini mwa Bonde la Ufa wamkashifu naibu rais Gachagua
0
0
09/06/24
Na viongozi wa kaskazini mwa bonde la ufa wanaendelea kumkosoa naibu rais Rigathi Gachagua kuhusu msimamo wake wa ugavi wa rasilmali chini ya mfumo wa mtu mmoja shilingi moja. Viongozi hao wamesema mfumo huo hauna msingi wowote na huenda ukazitenga tena jamii zilizoonekana zimetengwa kabla ya ugatuzi.
Montre plus
0 commentaires
sort Trier par