Suivant

Viongozi wa Kenya Kwanza wasema hali hairuhusu kushugulikia madaktari

29/07/24
K24 TV
Dans Afrique / Kenya

Viongozi wa Kenya Kwanza wanasema mahitaji ya madaktari yanafaa kushughulikiwa yalivyo ila hali ya uchumi kwa sasa hairuhusu, na hivyo wanaendelea kuwasihi madaktari wasitishe mgomo kwani wananchi wanataabika kupata huduma za afya. Vilevile kuhusu kinaya kilichoko ambapo rais William Ruto sasa anapongezwa kwa kushuka kwa bei ya mafuta ilhali wakati mmoja alisema hana uwezo wa kudhibiti kupanda au kushuka kwa bei ya mafuta wananchi walipokuwa wakilalamika.

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant