Suivant

Viongozi wa wanafunzi wa vyuo vikuu wajitokeza kupinga mfumo mpya wa ufadhili wa elimu

26/08/24
K24 TV
Dans Afrique / Kenya

Viongozi wa wanafunzi wa vyuo vikuu na shirika la kijamii la elimu bora wamejitokeza kupinga mfumo mpya wa ufadhili wa elimu ya juu ulionzishwa na serikali mwezi machi mwaka jana. Mfumo huo umekashifiwa kwa kuwaongezea wazazi mzigo wa kufadhili karo ya wana wao na kukosa kuzingatia mahitaji maalum ya wanafunzi mbali mbali

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant