Suivant

Viongozi wamuunga mkono Gavana Nassir kama naibu kiongozi wa ODM

11/08/24
K24 TV
Dans Afrique / Kenya

Viongozi wa chama cha ODM Pwani mwa kenya wamezika tofauti zao za kisiasa na kumuunga mkono gavana wa Mombasa Abdhulswamad Sharif Nassir kama naibu kiongozi wa chama hicho. Nafasi hiyo ilikuwa ikishikiliwa na aliyekuwa Gavana wa Mombasa Ali Hassan Joho ambaye sasa ni waziri katika serikali rais Ruto.

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant