Suivant

Vita ya Mpina na Mwigulu I Nilipingwa na Mawaziri I Kuna Njama Zinasukwa Kuibia Mapato Serikali

04/06/24
CLOUDSMEDIA
Dans Afrique / Tanzanie

Waziri tulimshauri muda mrefu malimbukizo ya kodi kwa jailli ya TRAB na TRAT na hadi sasa yamefikia trilioni 10.48, huwezi kukusanya kodi katika mazingira ya namna hiyo, hivyo tusipolinda viand vyetu via ndani hatuwezi kukusanya kodi.” Mbunge wa Kisesa Mhe. Luhaga Mpina, leo wakati achangia bajeti ya Wizara ya Fedha ya makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2024/2025. Endelea kuperuzi kwenye mitandao yetu ya kijamii @cloudstv @cloudsfmtz na akaunti ya Youtube “Clouds Media” kwa updates zote. #KutokaBungeni #CloudsDigitalUpdates

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant