Suivant

Vizuizi vinavyokumba azma ya Raila kuwania uenyekiti wa tume ya muungano wa Afrika

10/05/24
K24 TV
Dans Afrique / Kenya

Kinara wa Azimio Raila Odinga hii leo alifika katika kongamano la mbolea la Afrika katika jitihada za kutafuta uungwaji mkono zaidi katika azma yake ya kuwania uenyekiti wa tume ya muungano wa Afrika. Vizuizi vinavyokumba azma ya kinara huyo ndani na nje ya nchi kampeni zinapochacha.

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant