Suivant

Waathiriwa wengi wa mabadiliko ya tabia nchi wahangaika

28/07/24
K24 TV
Dans Afrique / Kenya

Katika mwaka wa 2023 kulishuhudiwa kiangazi kikali zaidi kwa muda wa miaka 40. Ni kiangazi ambacho kilisababisha zaidi ya mifugo milioni 2.5 kuangamia, huku watu milioni 6.5 wakiathirika. katika makala ya leo ya sauti ya mazingira. Ripoti iliyotolewa wiki hii kuhusu athari za mabadiliko ya tabia nchi nchini, ambayo inaonyesha maeneo yaliyoathirika zaidi na mabadiliko hayo.

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant