Wabunge wa Azimio waitaka serikali ifanye uchunguzi wa wazi kuhusu ajali ya ndege
0
0
24/04/24
Wabunge wa muungano wa Azimio la Umoja wameitaka serikali ifanye uchunguzi wa wazi kuhusu ajali ya ndege iliyosababisha kifo cha mkuu wa kdf jnerali francis ogolla na wanajeshi wengine tisa alhamisi wiki jana. Wakizungumza baada ya mkutano hii leo, wabunge hao walitangaza kuwa wataanzisha uchunguzi bungeni ili chanzo cha ajali kiwekwe wazi huku wakizitaka familia za wanajeshi waliofariki pamoja na ya Ogolla ziwakilishwe katika uchunguzi huo.
Montre plus
0 commentaires
sort Trier par