Suivant

Wadau wa usafiri wa umma wapinga ada mpya za kaunti Kakamega

06/02/24
K24 TV
Dans Afrique / Kenya

Usafiri ulitatizwa katikati mwa mji wa Kakamega baada ya wamiliki wa matatu, tuktuk pamoja na malori kuwaondoa askari wa kaunti katika maeneo yao ya kukusanya ushuru kutokana na kile wanadai ni kero ya kuongezwa kwa ushuru unaokusanywa bila wao kuhusishwa. Kiwango cha ushuru unaotozwa umeongezwa shilingi elfu moja mia tana na kinaathiri biashara zao

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant