Suivant

Wajumbe wa simba waja juu sakata la kujiuzulu | Mo anadai pesa | Hajiuzulu mtu hapa

08/06/24
CLOUDSMEDIA
Dans Afrique / Tanzanie

Baadhi ya Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Simba upande wa Wanachama [Dkt. Seif Muba, CPA. Issa Masoud, Seleman Haroub na Dkt. Rodney Chiduo] wamekutana na viongozi wa matawi ya wanachama wa klabu hiyo kuzungumza nao na kuwaeleza kile kinachondelea ndani ya klabu. Wajumbe hao wamesema hawawezi kujiuzulu kwa sababu hawaoni haja kufanya hivyo, wamekiri kuwa ndani ya Simba kuna changamoto lakini wapo kwa ajili ya kuzikabili na sio kukimbia. CPA. Issa Masoud amesema klabu yao inaongozwa kwa katiba lakini kwa siku za karibuni kumekuwa na vitu ambavyo vinafanyika nje ya utaratibu ambao wamejiwekea.

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant