Suivant

Wakazi wa Mkuru na Kayole wapambana vikali kisa ni wizi

17/07/24
K24 TV
Dans Afrique / Kenya

Yaliyoanza kama maandamano ya kuipinga serikali huko Mukuru Kwa Njenga, yaliishia kuwa makabiliano makali kati ya vijana kutoka mitaa ya Pipeline na Kayole. Haya yamehusishwa na wahuni wanaodaiwa kuchukua fursa ya maandamano hayo kupora biashara, kitendo ambacho kiliwakasirisha wafanyibiashara wa Mukuru Kwa Njenga.

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant