Wakazi wataka riba inayotozwa vijana wa bodaboda wanaponunua pikipiki kwa mikopo idhibitiwe
0
0
19/11/24
Wakazi wa Mombasa wameitaka kamati ya bunge kuhusu fedha na maendeleo ya taifa kuhakikisha maswala ya riba inayotozwa vijana wa bodaboda wanaponunua pikipiki hizo kwa mikopo yadhibitiwe. Wakazi hao wanasema hatua hiyo itawaokoa boda boda wanaojipata njia panda mikononi kwa wawekezaji walaghai.
Montre plus
0 commentaires
sort Trier par