Suivant

Wakenya elfu ishirini kusafirishwa hadi nchi za kigeni kupewa nafasi za ajira

21/11/24
K24 TV
Dans Afrique / Kenya

Wakenya elfu ishirini watasafirishwa hadi nchi za kigeni kupewa nafasi za ajira baada ya serikali kuzindua mpango huo mashinani. Kulingana na waziri wa leba Alfred Mutua, serikali imejitolea kwa zoezi hilo kama njia mojawepo ya kukabiliana na ukosefu wa ajira nchini. Hata hivyo kuna wale wanaohisi mchakato huo hauna uwazi

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant