Suivant

Wakenya wamiminika katika mabustani ya Nairobi

25/12/23
K24 TV
Dans Afrique / Kenya

Maeneo ya burudani na mabustani ya umma jijini Nairobi na vitongoji vyake yalifurika ummati wa watu hii leo, huku wakazi wa jiji wakijitokeza kwa ajili ya kusherehekea sikukuu ya krismasi na familia na jamaa zao. Kiwewe cha gharama ya maisha na nauli ya kusafiria zimetajwa kama baadhi ya sababu zilizowalazimu wengi kutosafiri vijijini wakati wa sherehe. Baadhi yao wamechagua kuungana kwa njia ya mitandaoni

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant