Wakenya wapinga mpango wa idara ya uhamiaji wa kupandisha ada ya kupata vitambulisho,
0
0
06/03/24
Wakenya wamepinga mpango wa idara ya uhamiaji wa kupandisha ada ya kupata vitambulisho, hati za kusafiria na stakabadhi zinginezo, wakisema wananchi tayari wanatozwa ushuru wa kupita kiasi. Kupitia barua iliyotumwa mnamo tarehe 29 mwezi wa februari, wakuu wa idara pamoja na waratibu katika wizara hiyo waliagizwa kutoza ada hizo mpya kuanzia machi mosi. Hata hivyo, agizo hilo halijatekelezwa katika vituo vyote vya kutoa huduma hizo.
Montre plus
0 commentaires
sort Trier par