Suivant

Wakenya wengi wahisi ni heri wasalie nyumbani wanapougua badala ya kugharamikia kwa matibabu

15/10/24
K24 TV
Dans Afrique / Kenya

Wakenya wengi wanahisi ni heri wasalie nyumbani kwao wanapougua badala ya kugharamikia matibabu ya juu wasiyoweza kumudu katika hospitali za umma nchini wagonjwa wa figo wanasema heri wafe manyumbani kwao kuliko kulipia zaidi ya shilingi elfu tisa kila wiki kwa matibabu ya figo ambayo hawawezi kumudu masaibu hayo ya wakenya yanajiri huku mashirika ya kidini yakifichua kuwa serikali ina deni la shilingi bilioni mbili ambalo inafaa kulipa taasisi mbalimbali kutoka kwa bima ya awali ya afya ya NHIF..

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant