Suivant

Wale wa miaka 80 tuwasaidie vijana wa sasa | Tunayaona maono ya Mhe. Rais

08/07/24
CLOUDSMEDIA
Dans Afrique / Tanzanie

Kwa mfano Baba wa Taifa wakati anatengeneza Tanzania hii ambayo imeisha 2021 alitaka tukae katika vijiji vya Ujamaa kama mwaka 1972 hadi 1974 lakini watekelezaji wengine walifanya tofauti. Hata kipindi hiki watu ambao wana maono wapo na tunaona haya kwa Mhe. Rais aliposema hatuwezi kufika mbali pasipo kushikamana alimaanisha. Kwanini baba wa Taifa aliamua kuua udini na ukabila? Kwa sababu alijua tukikaa katika yale tutashindwa kuwa na Tanzania moja. Tunapotazama miaka 60 mingine kutoka 2021 uhamasishaji ni wa msingi ila kwa vijana wapate elimu" - Ntimi Charles - Mchambuzi wa masuala ya Kisiasa #LiveOnClouds360 #CloudsTvNiMkataba

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant