Wanafunzi kuanzia gredi ya 5 hadi 8 watasubiri kwa muda kabla vitabu vyao vipya vichapishwe.
0
0
07/01/25
Wanafunzi kuanzia gredi ya 5 hadi 8 watasubiri kwa muda kabla vitabu vyao vipya vichapishwe. Kulingana na shirika la uchapishaji vitabu humu nchini, KPA, vitabu vipya vya gredi ya 5 na 6 vitachapishwa mwishoni mwa mwezi januari huku vya gredi ya 7 na 8 vikichapishwa mwishoni mwa mwezi februari. Kwa sasa shughuli ya uwasilishaji vitabu vya gredi ya 9 itakamilika wiki ijayo.
Montre plus
0 commentaires
sort Trier par