Suivant

Wanaharakati wanne akiwemo Boniface Mwangi wakamatwa na maafisa wa usalama jijini Nairobi

26/07/24
K24 TV
Dans Afrique / Kenya

Wanaharakati wanne akiwemo Boniface Mwangi wamekamatwa leo na maafisa wa usalama katikati mwa jiji la Nairobi. Wanne hao walikamatwa wakishiriki maandamano ya kuwakumbuka waliopoteza maisha wakati wa maandamano dhidi ya serikali. Wanne hao wanazuiliwa katika kituo cha polisi cha Central.

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant