Wanainchi wairai serikali kuu kutenga fedha ili kukamilisha miradi Kisumu
0
0
15/12/24
Wananchi katika kijiji cha Koluoch, eneobunge la Ahero, kaunti ya Kisumu sasa wameamua kuchangisha fedha ili kulipa madeni ya watu binafsi kusitiri mradi wa serikali ya kaunti baada ya kaunti hiyo kusitisha malipo kwa miaka zaidi ya minne. Wananchi hao wanairai serikali kuu na ya kaunti kuutambua mradi huo ili utengewe fedha ukamilike katika muda ufaao.
Montre plus
0 commentaires
sort Trier par