Suivant

Wanajeshi wa KDF washindwa kuuopoa mwili wa mwanamume na gari lake lililozama katika mto Sagana

09/05/24
K24 TV
Dans Afrique / Kenya

Wanajeshi wa kikosi cha KDF cha kudhibiti majanga kimeshindwa kuuopoa mwili wa mwanamume na gari lake lililozama katika mto sagana wiki moja uliopita, kufuatia mawimbi makali mtoni. Licha ya juhudi za wapiga mbizi wa kikosi hicho, mchakato wa kuuopoa mwili huo haukufanikiwa. familia ya mwendazake bado inaendelea kuomba usaidizi.

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant