Wanariadha Waliotia fora kwa olimpiki watuzwa na Rais
0
0
16/08/24
Wanariadha walioinyakulia kenya medali katika makala ya 33 ya michezo ya olimpiki iliyokamilika wikendi iliyopita jijini paris Ufaransa wametuzwa hela na serikali. Washindi wa medali za dhahabu walikabidhiwa shilingi milioni tatu kila mmoja huku walioshinda fedha wakipokea shilingi milioni mbili nao walionyakua shaba wametuzwa shilingi milioni moja.
Montre plus
0 commentaires
sort Trier par