Suivant

Wanasiasa wa Kenya Kwanza wapuuzilia mbali madai ya mgawanyiko

11/03/24
K24 TV
Dans Afrique / Kenya

Viongozi wa Kenya Kwanza eneo la bonde la ufa wamepuuzilia mbali tofauti baina ya naibu rais Rigathi Gachagu na mbunge wa kiharu Ndindi Nyoro. Wabunge hao waliofika kwa ibada na harambee kaunti ya Uasin Gishu wameshikilia kuwa kenya kwanza iko imara na hakuna mgawanyiko. Huenda mbunge huyo wa kiharu Ndindi Nyoro ana karata fiche ya kisiasa

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant