Washukiwa wa maafa ya Shakahola washtakiwa katika korti tofauti
0
0
23/01/24
Mhubiri mwenye utata Paul Mackenzie, mkewe Rodah Mumbua na wafuasi wake 93 wamekanusha mashtaka 238 waliyofunguliwa leo katika mahakama ya mombasa. wakiwa mbele ya hakimu alex ithuku washtakiwa hao wamejitetea kuwa itikadi yao kali haijachangia vifo vya watu 499 huko shakahola kaunti ya Kilifi Wakili wa Mackenzi, Wycliffe Macasembo ametaka kesi hiyo isikilizwe haraka.
Montre plus
0 commentaires
sort Trier par