Suivant

Wasiwasi wazuka kuhusu kifua kikuu miongoni mwa watoto

13/08/24
K24 TV
Dans Afrique / Kenya

Huku Kenya ikijitahidi kukomesha maambukizi ya kifua kikuu, wasiwasi mkubwa unazuka kuhusu kifua kikuu miongoni mwa watoto, huku maelfu ya visa vikiripotiwa miongoni mwa watoto kila mwaka. hii imepelekea wadau husika kubuni matumizi ya dawa za kifua kikuu kwa watoto, inayotarajiwa kuzinduliwa tarehe 1 oktoba, 2024 ili kuhakikisha upatikanaji wa dozi na hata ladha inayofaa watoto. Kinyume na kifua kikuu kwa watu wazima, uwezekano wa maambukizi ya kifua kikuu kutoka kwa mtoto ni chini sana ikilinganishwa na maambukizi kutoka kwa mtu mzima.

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant