Suivant

Wataalamu watoa wito kwa wakenya kukumbatia utamaduni wa kufanyiwa uchunguzi wa ugonjwa wa figo

20/08/24
K24 TV
Dans Afrique / Kenya

Wataalamu wa afya wametoa wito kwa wakenya kukumbatia utamaduni wa kufanyiwa uchunguzi wa mapema ili kugundua iwapo mtu yuos hatarini kupata ugonjwa wa figo ambao unahusishwa na vifo vingi kutokana na uwezo wake wa kusababisha figo kushindwa kufanya kazi. Ipasavyo. katika makala ya leo ya siha yangu. Kennedy Muchoki ambaye ni mgonjwa wa figo na anasubiri kupandikizwa figo kwa mara ya pili.

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant