Suivant

Watakaomaliza gredi ya 12 kupewa vyeti kutafuta ajira

03/04/24
K24 TV
Dans Afrique / Kenya

Wanafunzi watakaotamatisha gredi ya 12 katika sekondari kuu watapata nafasi katika elimu ya juu pamoja na kupokea vyeti vitakavyowawezesha kujiajiri au kufanya vibarua humu nchini na mataifa ya nje. Akizungumza katika hafla ya kutathmini masomo ya sekondari kuu, katibu mkuu belio kipsang amesema watachapisha upya vitabu vya gredi ya kwanza hadi ya sita baada ya kuvitathmini. Vile vile shule za sekondari sasa zitafunza aina zote za masomo yaani masomo ya sayansi ya jamii, masomo ya sayansi ya sanaa na michezo pamoja na sayansi, teknolojia, uhandisi na hisabati

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant