Watu wawili wafariki huku wengine zaidi ya 20 wakijeruhiwa kufuatia ajali ya barabarani
0
0
25/12/23
Watu wawili walifariki mapema hii leo huku wengine zaidi ya 20 wakijeruhiwa kufuatia ajali ya barabarani iliyotokea eneo la Taru katika barabara kuu ya Nairobi kuelekea Mombasa. Katika ajali nyengine mmoja aliaga dunia kwenye barabara ya Kakamega kuelekea Kisumu.
Montre plus
0 commentaires
sort Trier par