Suivant

Wavuvi watatu wanusuriwa na meli ya wachina baada ya kupotea baharini Malindi

28/12/23
K24 TV
Dans Afrique / Kenya

Wavuvi watatu wamenusuriwa na meli ya wachina baada ya kupotea baharini Malindi kwa siku 21. Ila mvuvi mwengine moja hajulikani aliko huku wanusuriwa hao watatu wakipokea matibabu katika hospitali ya Mombasa. Familia za wavuvi hao hatahivyo wametoa shukran kwa serikali na kampuni hiyo ya wachina kwa kuwanusuru wana wao.

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant