Suivant

Wazazi wa kijiji cha Murera wanaomboleza kifo cha Meja Magondu

23/04/24
K24 TV
Dans Afrique / Kenya

Siku 4 baada ya ndege iliyoanguka na kusababisha maisha ya gen Francis Ogolla na wengine tisa, familia ya George Benson Kabui Magondu, rubani aliyeendesha ndege hiyo imeelezea huzuni yao. Imebainika kuwa Meja Magondu, baba wa watoto watatu alikuwa mwenye umri wa miaka 30 alitwikwa jukumu la kupeperusha ndege kadhaa katika nyanja tofauti

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant