Wazee wasemaji wa jamii ya wataita na wataveta wamedai jamii hiyo imekosa maendeleo kwa muda mrefu
0
0
01/09/24
Wazee wasemaji wa jamii ya wataita na wataveta wamedai jamii hiyo imekosa maendeleo kwa muda mrefu kutokana na siasa duni. Wazee hao wa kundi la legha kima wanalalamika kuwa wanasiasa wa zamani wakishirikiana na walioshindwa katika uchaguzi uliopita wameanza mapema domo la siasa. Sasa wazee hao wameamua kundi lao lijitolee kuhamasisha wenyeji wasijihusishe na siasa za mapema na wasiwape sikio wanasiasa walio na hulka hiyo kuanza domo la siasa la uchaguzi ujao badala ya kuangazia maendeleo ya kaunti.
Montre plus
0 commentaires
sort Trier par