Waziri wa afya ataka hatua kuchukuliwa kwa mwanamke aliyerekodiwa akimshambulia mhudumu wa afya
0
0
04/01/24
Waziri wa afya Susan Nakhumicha sasa anataka kuchukuliwa kwa hatua za kisheria kwa mwanamke aliyerekodiwa akimshambulia mhudumu wa afya katika hospitali ya Port Victoria iliyoko kaunti ya Busia. Haya yanajiri huku uchunguzi ukizinduliwa na hospitali ya wanawake ya Nairobi ambapo mwanamke huyo anasemekana kuwa ni mwanafunzi.
Montre plus
0 commentaires
sort Trier par