Suivant

WAZIRI WA MADINI MH. ANTONY MAVUNDE AFUNGUKA FURSA ZIPATIKANAZO KWENYE SEKTA YA MADINI

26/08/24
CLOUDSMEDIA
Dans Afrique / Tanzanie

Mwaka uliyopita sekta ya madini iliongoza katika kuchangia kuingiza fedha za kigeni kwa asilimia 56, katika mwaka wa fedha 2022/2023 huku mauzo ya bidhaa nje ya nchi yakiwa ni thamani ya dola bilioni 3.1 na mapato ya kodi ya ndani yaliyokusanywa yakiwa ni trilioni 2.1 sawa na asilimia 15 ya mapato yote ya kodi ya ndani, Waziri wa Madini, Mhe: @AnthonyMavunde amebainisha hayo ndani ya #Clouds360.

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant