Suivant

Wizara ya afya yathibitisha kisa cha kwanza cha Mpox

01/08/24
K24 TV
Dans Afrique / Kenya

Mtu moja katika mpaka wa taita taveta aliyekuwa anasafiri kutoka Uganda kuelekea rwanda kupitia Kenya amepatikana na ugonjwa wa homa ya nyani yaani mpox. wizara ya afya imetangaza kuwa ugonjwa huo huenea pindi unapogusa mtu anayeugua au kupitia matone ya pumzi. Wakenya wameagizwa kuwa waangalifu, wanawe mikono na wasitangamane na watu walio na dalili za ugonjwa huo unaosambaa haraka. dalili za ugonjwa huo ni vipele , homa, maumivu ya kichwa, vidonda vyenye majimaji au majeraha yenye majimaji, maumivu ya jumla na mafundo limfu yaliyovimba.

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant