Suivant

XXL: NI SAHIHI KENYA KUENDELEA NA KAMPENI YA KUUPOTEZEA MUZIKI WA NCHI NYINGINE

11/12/24
CLOUDSMEDIA
Dans Afrique / Tanzanie

Kutokana na hali ya kuwa Wasanii wa Tanzania kufanya vizuri zaidi nchini Kenya kuanzia kwenye streaming platforms hadi kwenye shows, unadhani ni sahihi kwa Kenya kuendelea na sheria ya kuubania muziki unaotoka nje ya mipaka ya nchi hiyo kwa lengo la kutoa nafanya kwa muziki na wasanii wao!? • #XXLyaCloudsFM

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant