Suivant

Zaidi ya watoto milioni 6.5 wachanjwa katika kampeni dhidi ya polio nchini Kenya na Uganda,

25/10/24
K24 TV
Dans Afrique / Kenya

Zaidi ya watoto milioni 6.5 wamechanjwa katika kampeni dhidi ya polio nchini Kenya na Uganda, huku shirika la afya ulimwenguni (WHO) likisema mlipuko wa polio uliopo afrika mashariki unachangiwa na uhamiaji katika mipaka ya nchi hizo mbili. Kampeni hii itahakikisha kuwa watoto chini ya miaka mitano katika maeneo hatari wanapata chanjo, licha ya taarifa potovu kuhusu athari za chanjo hiyo

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant